Ajira za walimu ni lini?

Ajira za walimu ni lini?

Barnaba Bulugu

New Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Mlisema mtatoa majina ya walimu na vituo vyao vya kazi leo mbona hatuoni au hakuna ajila kwa walimu semeni ukweli tujue serikali yetu inababaisha
 
M2 wang ajira mpaka mwakan kama una shamba jishughulishe hata kwa kilimo kama mi nimeshajiajiri kihivyo kwa hekari kama 3 hivi.
 
Tungekua ulaya tungekua tumesha filisika kabisa! maana hali yetu Ugiriki afadhali!
 
Ajira zenu maticha wa digrii na diploma till next early year
 
Ni kweli tuliambiwa leo lakn naona mpaka muda huu hakuna jipya da kweli hii serikali sikivu
 
AH MI NIMEchoka ku-visit moe au wenzangu inakuaje? Mi kila baada ya dakika 1 nacheki. Ila dah au nani kasema ni leo? Nawakilisha high table?
 
Marcko,juzi tu Mh Mlugo alituambia leo walituambia wangetoa majina huku katibu mkuu Tamisemi alisema hayo lakn utaona jamaa hawaelezi wazi,ngoja tuone watatudanganya nn tena ikifika Jan
 
Bajabiri afadhali yako mkuu ulishaanzaga kwenye kada zetu hizi
 
Hata nkipata ajira ,hii asira nlonayo ita xpaya 2050, kipindi hicho hata CHADEMA HUENDA IKAWA IMESAHULIKA LICHA YA chi chi em!
 
Back
Top Bottom