Ajira za walimu:siku kuhesabiwa.

post tayari walimu wote wameenda up countrie hakuna aliyepata DSM na mikoa mingine ya mjini...km umepiga mchongo wa dar pesa yko imeliwa ndugu

asante kwa taarifa mkuu,hayo majina yanapatikana wapi/website gani?
 
Mkuu naona unawarusha roho walimu wako!
post tayari walimu wote wameenda up countrie hakuna aliyepata DSM na mikoa mingine ya mjini...km umepiga mchongo wa dar pesa yko imeliwa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…