Rjohn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 613
- 128
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.
Akizungumza nje ya Viwanja vya Bunge jana mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo alisema kuwa Serikali haijawasahau wala kushindwa kuwaajiri walimu waliomaliza masomo yao.
¡°Ni kweli wengi hawajapangiwa vituo vya kazi, lakini ndugu zangu Watanzania hebu muwe mnakumbuka kuwa ni muda gani huwa tunawapangia ajira walimu, mbona muda bado,¡±alihoji Mulugo.
Alisema kuwa muda wa kuwapangia walimu huwa ni kati ya Februari Mosi hadi Machi 30 mara baada ya wizara kupata vibali kutoka Utumishi.
Kuhusu walimu kupangwa na wengine kuachwa, alisema inatokana na bajeti ambayo wanakuwa wamepewa kutoka utumishi ambayo lazima inakuwa na ukomo wa idadi ya watu wanaotakiwa.
Hata hivyo alisema kuwa walimu ambao walimaliza na wana sifa za kufundisha wanapaswa kuwa na subira kwani kumbukumbu zao zipo na kwa vyovyote laz