ajira za walimu taarifa

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu walimu waliomaliza masomo yao na kutopangiwa vituo vya kazi kuwa muda wa kufanya hivyo bado.
Akizungumza nje ya Viwanja vya Bunge jana mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo alisema kuwa Serikali haijawasahau wala kushindwa kuwaajiri walimu waliomaliza masomo yao.
¡°Ni kweli wengi hawajapangiwa vituo vya kazi, lakini ndugu zangu Watanzania hebu muwe mnakumbuka kuwa ni muda gani huwa tunawapangia ajira walimu, mbona muda bado,¡±alihoji Mulugo.
Alisema kuwa muda wa kuwapangia walimu huwa ni kati ya Februari Mosi hadi Machi 30 mara baada ya wizara kupata vibali kutoka Utumishi.
Kuhusu walimu kupangwa na wengine kuachwa, alisema inatokana na bajeti ambayo wanakuwa wamepewa kutoka utumishi ambayo lazima inakuwa na ukomo wa idadi ya watu wanaotakiwa.
Hata hivyo alisema kuwa walimu ambao walimaliza na wana sifa za kufundisha wanapaswa kuwa na subira kwani kumbukumbu zao zipo na kwa vyovyote laz
 
source; mwananchi news paper
 
BED ni wakufunzi wa vyuo vya ualimu, na je kuna vyuo vngap tz ukilinganish na walm wa bed,hapo sahau kupta ajira ya serkal ya mulugo.
 
BED ni wakufunzi wa vyuo vya ualimu, na je kuna vyuo vngap tz ukilinganish na walm wa bed,hapo sahau kupta ajira ya serkal ya mulugo.
Hujitambui
 
BAED ajira nje nje ila BED kazi kwelikweli!!
 
AJIRA=25,000 kwa ngazi zote. cheti,dploma,degree na vyuo vya ualimu, jumla yao wote 35,000. watu 10,000 out of emplyment. thnk twice.USIJE UKAWA WEWE
 
Bed Sahau Kupata Ajira Labda Subir Had Chadema iingie madarakani 2015, mtasugua bench hadi unazeeka lasivyo piga tuition kitaa!
 
AJIRA=25,000 kwa ngazi zote. cheti,dploma,degree na vyuo vya ualimu, jumla yao wote 35,000. watu 10,000 out of emplyment. thnk twice.USIJE UKAWA WEWE

najilazimisha kukuelewa ila wapi, umekisoma unachokiandika kweli?
 
ujuwe kama unapost kitu uwe na evidance wadau tusie tunapost vitu km sio ma educated wengine tushavulugwa saxa na life lakitaa jamaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…