Ajira za walimu Tanzania ni janga la Kitaifa

Joined
Feb 16, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Ndugu zangu habari zenu
Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi

● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40

Kwa hiyo serikali imekosa imani na vyuo ambavyo vimepewa kibali na wao wenyewe kwa ajili ya kuzalisha walimu na kuwapa vyeti ? Mwisho wa siku wazazi wanapata magonjwa ya moyo kwa sababu wanasomesha watoto wao lakini baadaye wanageuka kuwa mzigo kwao kwani walitegemea watajitegemea baada ya kumaliza masomo yao.

Itoshe kusema kwamba tokea Rais Kikwete atoke madarakani serikali yetu imekosa kabisa waziri mzuri wa Elimu ambaye atatatua changamoto zote za kielimu hasa upande wa walimu. Nawasilisha
 
Huyu Mkenda hakuna kitu,maana anadhani wote Wana maisha kama yake,mtu anaenda kufanya usaili UDOM!Hana nauli na hata akifika huko kazi hapati
 
Back
Top Bottom