Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

Status
Not open for further replies.
Endelea kujiulza ukpata jb baki nalo.

Brother mimi ni muhanga wa hili na wala sio wale waliokua wakizusha ajira za waalimu hamna.....
Tunazidi kumuomba Mungu atujalie wote tupate kibarua hichi japo takwimu zimekua zikibadilika kutokana na vyombo vya habari kutujuza figures tofauti tofauti... Inaonekana kama demand inazidi kupungua ile hali supply inabaki vilevile...
Anyway tunasubiri hio 25/04/ tutapata Jibu kamili!
 
Nachojiuliza ni kwamba hao wahitimu 31056+ Lab techn 10000 = 41056 je serikali itaweza kuajiri wooote hao????kwa wakati mmoja na kuwalipa kwa wakati???

tutawalipa vizuri endapo wewe utatimiza jukumu lako la kulipa kodi kwa wakati.
 

Wachawi wamepiga mbizi maji ya ugoko, siwaoni tena akina SHIVA MAINA cjui washachange ID
 
Mbona town walimu bado majanga tu, village hatuendi hata kwa dawa labda kama kuna miundo mbinu ya kutosha
 

rudi ukamalizie usingizi ndo uje ucomment! Hovyoo! Eti huchagui kazi, nenda uwanja wa fisi nako kuna kazi.
 
kazi ni kaz mradi iwe tanzania ata mtu ukipangwa usisikilize mtu mana kwanza anayeponda hana ajira mwenyewe
 
naomba majina yakitoka tuje hapa kila mtu ataje halmashauri aliyopangiwa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…