ajira za walimu wapya 2011 lini?

ajira za walimu wapya 2011 lini?

MWL MTZ

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
39
Reaction score
2
Napenda kuiuliza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuwa ni lini watawaajiri walimu wapya 2011? maana tunasema kila siku kuwa shule zetu zina upungufu wa walimu wakati walimu wamejazana mitaani bila ajira? na je tutegemee nini katika matokeo ya form iv mwaka huu.
 
Mkuu,kama 2 pesa za kuwafadhili madogo vyuon wameishiwa,ndo ije kuwa kuajiri walimu wapya..tafuta means ya kutoka kvingne 2 m2 wangu.
 
Serikali inajipanga. Usihofu.
 
wafanyakazi wa serikali mshahara wa kuwalipa mwezi huu imekuwa ishu kupatikana,wamewekwa pending itakuwa hela za kuajiri waajiriwa wapya,kafundishe private kaka sio lazima govt
 
wafanyakazi wa serikali mshahara wa kuwalipa mwezi huu imekuwa ishu kupatikana,wamewekwa pending itakuwa hela za kuajiri waajiriwa wapya,kafundishe private kaka sio lazima govt

acha uongo. Mshahara umeshaingia kitambo.
 
serikali iko mbioni .. iko kwny mchakato..!!
 
Back
Top Bottom