Napenda kuiuliza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuwa ni lini watawaajiri walimu wapya 2011? maana tunasema kila siku kuwa shule zetu zina upungufu wa walimu wakati walimu wamejazana mitaani bila ajira? na je tutegemee nini katika matokeo ya form iv mwaka huu.
wafanyakazi wa serikali mshahara wa kuwalipa mwezi huu imekuwa ishu kupatikana,wamewekwa pending itakuwa hela za kuajiri waajiriwa wapya,kafundishe private kaka sio lazima govt
wafanyakazi wa serikali mshahara wa kuwalipa mwezi huu imekuwa ishu kupatikana,wamewekwa pending itakuwa hela za kuajiri waajiriwa wapya,kafundishe private kaka sio lazima govt