ajira za walimu wapya 2013

ajira za walimu wapya 2013

Status
Not open for further replies.
Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisa!!!
 
january...andaa blanket na katambuga umepangiwa musoma mzee
 
Hata zile taarifa rasmi kabisa toka kwa JK na Mulugo kwamba ni Januari hukuzisikia?
 
It will be in January 2013!

  • A%20S%20angry.gif
    :A S angry:

 
Jifunze jinsi ya kuandika kichwa cha Habari Boss:A S angry:
 
naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa

Nimesoma gazeti la Mwananchi jana tarehe 03 january, ajira mpya za ualimu ni this January but let's wait to see.
 
Nimesoma gazeti la Mwaananchi la jana 03 january, limeandika ajira mpya za ualimu ni this january 2013. hizi kauli huwa zinanichosha sana sana why wasitoe specific date..?
 
Kiukwel tumechoka fikiria tangu may mwaka jana, bt nadhan haitakua zaid ya hii januar kwan mwaka jana zilitoka tar. 28 jan km cjasahau.
 
Kiukwel kitaa kugumu sana mpaka inaboa amakwel serikal ya ccm imeshindwa kaz mana walimu wachache skonga lakin kuajil wanachelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom