B Baba Clara Member Joined May 10, 2011 Posts 94 Reaction score 27 Dec 12, 2012 #1 naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa
Limbani JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 1,438 Reaction score 442 Dec 12, 2012 #2 Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisa!!!
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,406 Dec 12, 2012 #3 january...andaa blanket na katambuga umepangiwa musoma mzee
S SG8 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2009 Posts 3,955 Reaction score 2,133 Dec 12, 2012 #4 Hata zile taarifa rasmi kabisa toka kwa JK na Mulugo kwamba ni Januari hukuzisikia?
KATUMBACHAKO JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 399 Reaction score 108 Dec 12, 2012 #5 It will be in January 2013! :A S angry:
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Dec 13, 2012 #6 vanmedy said: january...andaa blanket na katambuga umepangiwa musoma mzee Click to expand... M2 wang hapo sawa kabisa asije kwa mbwembwe maana huku ni kwata Mura.
vanmedy said: january...andaa blanket na katambuga umepangiwa musoma mzee Click to expand... M2 wang hapo sawa kabisa asije kwa mbwembwe maana huku ni kwata Mura.
Eugo Member Joined Sep 23, 2012 Posts 39 Reaction score 1 Dec 14, 2012 #7 Jifunze jinsi ya kuandika kichwa cha Habari Boss:A S angry:
H Hussein msophe Member Joined Dec 10, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Dec 14, 2012 #8 Ni january jaman jaman mcwe na shaka
D diaz Member Joined Jan 3, 2013 Posts 80 Reaction score 9 Jan 4, 2013 #9 Baba Clara said: naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa Click to expand... Nimesoma gazeti la Mwananchi jana tarehe 03 january, ajira mpya za ualimu ni this January but let's wait to see.
Baba Clara said: naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa Click to expand... Nimesoma gazeti la Mwananchi jana tarehe 03 january, ajira mpya za ualimu ni this January but let's wait to see.
D diaz Member Joined Jan 3, 2013 Posts 80 Reaction score 9 Jan 4, 2013 #10 Nimesoma gazeti la Mwaananchi la jana 03 january, limeandika ajira mpya za ualimu ni this january 2013. hizi kauli huwa zinanichosha sana sana why wasitoe specific date..?
Nimesoma gazeti la Mwaananchi la jana 03 january, limeandika ajira mpya za ualimu ni this january 2013. hizi kauli huwa zinanichosha sana sana why wasitoe specific date..?
F Firstborn lastson Member Joined Jan 1, 2013 Posts 74 Reaction score 8 Jan 4, 2013 #11 Kiukwel tumechoka fikiria tangu may mwaka jana, bt nadhan haitakua zaid ya hii januar kwan mwaka jana zilitoka tar. 28 jan km cjasahau.
Kiukwel tumechoka fikiria tangu may mwaka jana, bt nadhan haitakua zaid ya hii januar kwan mwaka jana zilitoka tar. 28 jan km cjasahau.
Goodvision JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 858 Reaction score 467 Jan 4, 2013 #12 Subiri baada ya bunge la bajeti,amini july
O Oscar kiwale New Member Joined Jan 4, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jan 4, 2013 #13 Ni kati ya tarehe tano hadi kumi na tano zitakuwa tayari.
E Enjoy Fumbo Member Joined Oct 21, 2012 Posts 11 Reaction score 4 Jan 4, 2013 #14 Mwezi wa ngapi we chizi ww?ni wa 9?
A anuary salum Member Joined Dec 7, 2012 Posts 70 Reaction score 4 Jan 9, 2013 #16 ni mwezi wa pili mwanzoni.
G Geki 75 Member Joined Jan 16, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jan 18, 2013 #17 Kiukwel kitaa kugumu sana mpaka inaboa amakwel serikal ya ccm imeshindwa kaz mana walimu wachache skonga lakin kuajil wanachelewa
Kiukwel kitaa kugumu sana mpaka inaboa amakwel serikal ya ccm imeshindwa kaz mana walimu wachache skonga lakin kuajil wanachelewa
A Anuary Da Handsome'b Member Joined Dec 16, 2012 Posts 83 Reaction score 7 Jan 18, 2013 #18 IKIFIKA USIKU "CLICK" HAPA UPATE TAARIFA ZAID.
Betri yenye chaji JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 743 Reaction score 642 Jan 18, 2013 #19 Kwan januari imeisha? Inaweza kuwa hata 30 jan 2013.
A Anuary Da Handsome'b Member Joined Dec 16, 2012 Posts 83 Reaction score 7 Jan 18, 2013 #20 Leo leo we utaziona Betri yenye chaji