Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

Ahsante mkuu licha ya kutokuwa mwenyeji JF ila hii post yako imenifanya nitabasamu kdogo lakn kama kawaida wenye vinyogo wameshaanza kujamba humu je post zikitoka si ndo watakunya kabisaa.
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

dada kumbuka aliyekupa wewe ndo aliyeninyma mimi..,usidharau m2 kisa una pesa ndg(am so DISAPPOINTED with u kwa dharau zako).,punguza dharau bibie..,haya ni maisha2
 
Mtoa mada nadhani yupo sahh maana hata magazeti ya leo km vle "Habari leo" na "Mtanzania."
 
Mkuu Geezzle maneno yako yanachoma sana. Ama kweli nimeamini there is classes everywhere in our society dah.

dada kumbuka aliyekupa wewe ndo aliyeninyma mimi..,usidharau m2 kisa una pesa ndg(am so DISAPPOINTED with u kwa dharau zako).,punguza dharau bibie..,haya ni maisha2
 
Last edited by a moderator:
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

We nawe unajiaibisha tu hiyo unayosema unaitumia kwa siku ukiijumlisha yote kwa mwaka yupo anayoitumia jumla yake kwa saa tena kununulia chewinggum mtoto wa Billgates au Warren mwenye mwezi anaitumia jumla yake kwa mwaka kwa kununulia nepi sembuse we kikongwe unayepigika nusu kufa ndo uipate tena unaitumia kwa bajeti na kwa uchungu kwanza sio bure credit yakuingilia jf umegongea una diarrhea tu hapa.
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

We fisadi kadogo, acha wanetu wajitafutie ridhiki.
 
Habari ni zile zile'mbona mwazidi zirudia huku ni kukatishana tamaa hapa hakuna kitu ni siasa mtupu
 
Hii ni taarifa ambayo ipo kwenye tovuti ya wizara tamisemi, zilizopita zilikuwa ni gossip tu.
 
We boya si uingie web ya tamisemi uangalie.. Au unataka umaarufu??????!
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

Dah sijawahi kuona jitu jinga kama hili...!!
 
hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

It is all relative. Some people would use the salary you earn in the whole year in a second.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…