Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

hii ajira au uchafu!...kuliko kuwa mwalimu ni bora nikavue samaki. Mshahara wenu wa mwezi mimi natumia siku moja!..teh!teh!...bongo ni majangaz you know!

Ndugu tema mate chini w2 wanalala matajiri wanaamka masikini na kumbuka mpaji ni Mungu pekee chunga kauli zako zisije zikakupeleka shimoni
 

Ndugu Mjamaa masalia tunaomba ripoti yeyote ile kama unayo kutoka chanzo chako cha habari, maana hadi mda huu tunaelekea kwenye chaos.......
 
Last edited by a moderator:
nahisi hadi kesho mambo yatakua hazarani msiwe na wasiwasi vijana,
 
achen kudharau ajira za watu. kila mtu kapita kt mikono ya walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…