AJIRA ZA WALIMU WAPYA: Ni vitu gani muhimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti?

komekaone

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
47
Reaction score
9
Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule husika.

Tunaomba mtujuze mapema itatusaidia kuandaa mapema, na pia itatuepushia usumbufu wa kurudi tena majumbani jambo ambalo unaweza kujikuta unapoteza nafasi yako ya ajira.

Tunawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mtuambie ndugu zenu.
 
komekaone;8921164]Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule husika. Tunaomba mtujuze mapema itatusaidia kuandaa mapema, na pia itatuepushia usumbufu wa kurudi tena majumbani jambo ambalo unaweza kujikuta unapoteza nafasi yako ya ajira. Tunawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mtuambie ndugu zenu.

Maelezo ya tngazo la ajira litaeleza bayana vitu muhimu ambavyo unatakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti katika harimashauri uliopangiwa. Lakini elewa kuwa kunamahitaji mengine muhimu ambayo huoitaji hadi uelezwe, nayo ni mahitaji muhimu ya mwanadamu
 
IHANGILO. Nakushukuru mashauri yako ya hekima. Mengine ya kiuchumi hyo inaeleweka, hofu yangu ilikuwa yawezekana kuna vitu vingine sina hapa na ili kufuatilia vinaweza kuchukua muda kidogo hvyo badala ya kusubiri tangazo la serikali kwa wale mnaofahamu mtujuze ili tufuatilie mapema
 
Kwa wale wanaotoka mkoa wa MBEYA na kuelekea mikoani wasisahau mahindi debe kadhaa,maparachichi mabichi,viaz n.k, kwa wale watakaopangwa ukerewe wasisahau kuwa usafiri wetu ni mtumbwi!
 
duh. sawa mkuu, huwezi kudharau ushauri wa bure nitautendea kazi
 
Kwa wale wanaotoka mkoa wa MBEYA na kuelekea mikoani wasisahau mahindi debe kadhaa,maparachichi mabichi,viaz n.k, kwa wale watakaopangwa ukerewe wasisahau kuwa usafiri wetu ni mtumbwi!

Na wale mtakao kuja IRINGA huku hatufugi ng'ombe, tuna mabucha ya mbwa tu.
 
cheti cha form four,form six, transcript na copy zake kama sita sita each...passpot size zczopungua nane..karibu wengine mmalizie vilivyobaki...
 
umekumbusha vitu vya maana sana ndugu hasa hizo copy.
 
Mjandae kpeww majina kama Kifront front,
uharaza, stick by nature, Mnoko, Much Know, Mshua na mengiine kama hayo!
 
Inategemea na mwajiri wako anapopeleka doc za malipo ila nakuhakikishia crdb hutojuta...wengi wanapokea kwa wakati na ndio maana huwezi kukuta foleni za kutisha katika ATM au ndani pia..mwenyewe natumai ulishawahi kushuhudia..haitaji kufikiri sana.
 
Back
Top Bottom