komekaone;8921164]Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule husika. Tunaomba mtujuze mapema itatusaidia kuandaa mapema, na pia itatuepushia usumbufu wa kurudi tena majumbani jambo ambalo unaweza kujikuta unapoteza nafasi yako ya ajira. Tunawaomba wazoefu na wajuzi wa hili mtuambie ndugu zenu.
Maelezo ya tngazo la ajira litaeleza bayana vitu muhimu ambavyo unatakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti katika harimashauri uliopangiwa. Lakini elewa kuwa kunamahitaji mengine muhimu ambayo huoitaji hadi uelezwe, nayo ni mahitaji muhimu ya mwanadamu
IHANGILO. Nakushukuru mashauri yako ya hekima. Mengine ya kiuchumi hyo inaeleweka, hofu yangu ilikuwa yawezekana kuna vitu vingine sina hapa na ili kufuatilia vinaweza kuchukua muda kidogo hvyo badala ya kusubiri tangazo la serikali kwa wale mnaofahamu mtujuze ili tufuatilie mapema