nimeona mkuu lakini jina langu haliko tena, nashindwa kuelewa wanachuo waliohitimu Makumira sijui vipi, ni chuo, au wizara au nini?
kufaulu nimefaulu tena kwa GPA nzuri sijui nini?
Nahindwa kuamini kama wewe uliandika hayo maneno ni mhitimu wa chuo kikuu. Yaani umeamua kumdhalilisha mwenzako kwa kulinganisha vyuo? Hayo mabishano ya chuo kipi bora ni mambo ya kitoto hasa kwa waliokwishahitimu. Mwenzako anajadili ajira wewe unaoongelea GPA za vyuo!?GPA nzuri makumila?
Mwenye gpa ya 1.9 udsm ni bright kuliko mwenye 4.+ makumila ,sauti,tumaini nk
source www. university. ranking.inc