Ajira za walimu

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Jamani vp? kuna lolote la kuridhisha kuhusu ajira za walimu wapya?
 
m2 wangu subiri kidogo bac mbona una haraka utafikiri unaoga nje, january sii hii hapa, sasa.
 
haukusoma mwanahalisi la wiki 2 zilizopita? serikali imesema itaajiri walimu mia nne tu, piga esabu n walimu wangapi wamemaliza na nimiaka mingapi hawajaajiliwa then piga pobability ya wewe kupata ajira
 
Jamani mbona majibu mepesi kwenye maswala magumu? Yaani serkali imefulia so what
 
Jamani mbona majibu mepesi kwenye maswala magumu? Yaani serkali imefulia so what

Haina pesa au mnataka muilazimishe serikali iwakope muanze migomo isiyo kuwa na tija?
 
Hey ngoja ngoja bwana...Hata wenzio 2lichomeshwa mahindi sana 2010 mpaka 2011 januari...Hivyo bac ajira za walimu zipo ila ni baadaye sana,sababu fedha zenu za kujikimu wamejiongezea posho.....Kama huwezi ngoja tafuta shule binafsi ukainue kizazi huko, kama serikali ikikukumbuka utapima mwenyewe kwenye maslahi zaidi ya sasa na ya baadaye....Mwenzio nilivyoona waki2zingua nilikimbilia private na mpaka sasa bado nipo huko nakula bata aisee.
ANGALIZO:Kuwa makini c kila private inawajali wafanyakazi wake vizuri,fanya uchunguzi kabla ku2ma ombi la kazi.
 
ajira zitatangazwa hivi karibuni, ila jiandaeni kwenda mikoa ya kusini.
 

ila sio pss....teh teh teh! Vp mkuu? Hap nu year!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…