Ajira za walimu

Ajira za walimu

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
hali zenu wapendwa!
kwa mwenye habari/maelezo yenye uhakika kuhusu ajira za walimu lini zitatoka naomba anifahamishe kwa ngaz zote shahada,astashahada,na cheti,
n.b nimeuliza kwa wema matusi kejeli nk naomba viniepuke
nawasilisha;+
 
kwa serikali hii..na uongozi huu wa mulugo na kawambwa...SURELY ITAKUWA MWAKANI NDUGU (Jan-march)
 
Doooooh! nimechoka kabisa
 
Tutaajiri mwaka 2014 october

"Nchi ngumu hii"
 
hali zenu wapendwa!
kwa mwenye habari/maelezo yenye uhakika kuhusu ajira za walimu lini zitatoka naomba anifahamishe kwa ngaz zote shahada,astashahada,na cheti,
n.b nimeuliza kwa wema matusi kejeli nk naomba viniepuke
nawasilisha;+

Naomba tofauti kati ya shahada, stashahada ,astashahada na cheti mkuu mana umenichanganya kidogo...
 
Ajira wakati huu! Mbona mapema sana. Ikumbukwe hata September Conference (Supp. n.k) bado. Je ni kukosa boom?
 
SHAHADA ni digree,STASHAHADA ni diploma,ASTASHAHADA Ni cheti (certificate) uhakika ndio huo. GOD LOVES YOU

SHAHADA NI BACHELOR DEGREE

STASHAHADA NI DIPLOMA

ASTASHAHADA NI CERTIFICATE

ni hayo tu
 
Rjohn pole sana kwa kuulizia ajira. Naona ulianza siku nyingi kweli, "Rjohn 08:09 14th August 2013"
 
Back
Top Bottom