hali zenu wapendwa!
kwa mwenye habari/maelezo yenye uhakika kuhusu ajira za walimu lini zitatoka naomba anifahamishe kwa ngaz zote shahada,astashahada,na cheti,
n.b nimeuliza kwa wema matusi kejeli nk naomba viniepuke
nawasilisha;+
naomba tofauti kati ya shahada, stashahada ,astashahada na cheti mkuu mana umenichanganya kidogo...
shahada ni degree,stashahada ni diploma na astashahada ni ni advance diploma
mmmmh!!!!hivi astashahada sio certificate (cheti)???
mmmmh!!!!hivi astashahada sio certificate (cheti)???
SHAHADA ni digree,STASHAHADA ni diploma,ASTASHAHADA Ni cheti (certificate) uhakika ndio huo. GOD LOVES YOU