Ajira za walimu

Status
Not open for further replies.

Mchoropa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
402
Reaction score
304
IFIKE mahala siasa kama taaluma iwe na mipaka yake. Haiwezekani kuingiza siasa mpaka kwenye masuala nyeti ambayo ndiyo dira ya TAIFA! Hivi viongozi wetu ktk serikali mnawaza nini kuhusu ajira mpya za walimu??? mmetoa ahadi nyingi ambazo walimu wamekua na imani nazo na kuwataka wawe na subira, leo ni tar 15 ambayo ndiyo tarehe iliyosubiriwa kwa hamu sana na walimu ambao bado wapo mitaani kutokana na utaratibu wenu mbovu wa kuwaajiri, jambo la kusikitisha na kuvunja mioyo ya walimu hawa mpaka sasa bado hakuna taarifa rasmi ni muda gani mtaweka orodha ya majina ya walimu wapya walioajiriwa kama mlivyoahidi na kujinasibu, huku ni kuwakaribishia vidonda vya tumbo walimu wa watu@ IKO WAPI HIYO SERIKALI SIKIVU???
 
Acheni hizo nyie walimu.......hivi hamjui kuwa kuna watu wamesoma PSPA(political science and public admin),sociology, Law, economics, finace, etc na hawajawahi kulalamika kama nyie mnavyotia aibu? kulalamika kila dk! Kwa hiyo kusomea ualimu ni kujihakikishia ajira sio? Ndio maana mnanyanyaswa kila sehemu katika nchi hii, maana mnajishushia thamani nyie wenyewe!

Sasa ngoja hizo ajira zitoke...muone mtakavyo nyanyaswa na Ma.DEO, na wakuu wa shule huko muendako...then mje kulia lia tena hapa!
 
SAWEBOY,huo ni mdo wako ulio toa tusi hilo au umeazima. Toa hoja bira kutoa matusi, naamini sisi sio watoto tuliomo humu.
 
Last edited by a moderator:

Hujitambui! siku ukijitambua utakuja kuelewa jamaa alichoeleza,
 

Anger, pain, shame and ifiriority are eating you, just take a deep breath and calm down sister.
 

Napata tabu kuamini kama ubongo wako unafanya kazi, mtu mwenye busara hawezi kuwa mropokaji kama wewe, kwa bahati mbaya siwezi kutukana kwa sababu najitambua, ningeuthamini mchango wako pasipo matusi@
 

Halafu we dogo nimekua nikikusoma unavyowadharau waalimu, unasahau ndio waliompa usichana mamako? kuwa na heshima na kama unahisi huna cha kuchangia nenda kavute mabangi yako utulie! unakera dogo!!
 

Wewe ni Libint kama mabint wengine,peleka matusi yako huko kwa vilaza wenzio,alafu inaonekana bichwa lako kubwa limejaa majitaka ndo maana unacoment uchafu.Na bahati yako walimu wana busara vinginevyo ningekuporomoshea ya nguoni.
 
hoja za kweli kabisa,mkuu mi nimejitaidi nkajua ninapoenda.
 
Hujitambui! siku ukijitambua utakuja kuelewa jamaa alichoeleza,

HASIRA ZINGINE BHANA! NAJUA UTAPATA AJIRA TU MKUU. JIPE MOYO. Lalamika na wewe huenda ukapata. Kama tunalalamika na tunapata kwanini wewe usifanye hivyo. Punguza munkari mkubwa. Nani atawanyanyasa waalimu? Mshahara au nini? Nani alikuambia kulipwa milioni ndo mwisho wa Shida? Pesa hata sh 1 bado ina msaada mkubwa ndugu yangu uliye na hasira kama kobe anayevuka barabara yenye watu wengi. Karibu katika hii fani. Utajionea mengi mazuri. Thank you dear brother.
 
saweboy, kero yetu ni promiseless hiv wazr gan alisimama na kuzungumzia ajira ya watu wa PSPA,B.COM,SOC nk. they are kiding too much.
 
wakuu majina ya shahada tayari yapo hewani, mwenye link ya majina ya stashhada basi atupe madogo wanasumbua kupiga simu......
 
Mwenzenu hata hayo shahada siyaoni@ shida juu ya shida!
 
Hizi ni kashifa kubwa kwa walim..msomi huwa hapingi mawazo ya mwenzake hata siku moja....watu kma nyie hamfai katika jamii.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…