Ajira za walimu

Status
Not open for further replies.
Hizi ni kashifa kubwa kwa walim..msomi huwa hapingi mawazo ya mwenzake hata siku moja....watu kma nyie hamfai katika jamii.....

Bado hajajitambua! ujinga alionao mtu kichwani humpelekea kuona kila jambo alifanyalo ni sahihi, walimu tusifadhaike sana@
 
website ya tamisemi inafunguka asaivi lakini hamna kitu bado.
 
Kiujumla inaonekana una wivu wa ajira kwa sababu ukupata kusomea ualimu ambao kimsingi ajira yake siyo ya kutembea na bahasha za kaki kama unazotembea nazo muda huu, so kuwa mtu ambaye ana fikra chanya na sio hasi. Nafahamu unajua kwamba kuna huaba wa walimu nchi na hawa walimu waliohitimu wana hamu ya kwenda kuokoa watanzania wanohitaji Elimu ili kusudi waweze kujikomboa. Kupiga kelele kuhusu ajira zao ni haki ya msingi kudai kama wewe huwezi kudai haki yaki yako hacha wenzako wafanye hivyo na siyo kudharau. Kumbuka wewe hapo umepitia mikono ya mwalimu mpaka leo unatukana na kuwadharau, istoshe unategemea kuwa na watoto au umeisha wapata ni matumaini yangu kuwa hutawapeleka shule sijui watafundishwa na walimu hawa hawa unodharau?
 
nyie tayar wameweka mi nishaona nimepangiwa mwanza-wilaya ya kwimba hata sijui kupoje
 
Hata siamini kama hawa watu huwa wanatumia busara kucheza na akili za watu!
 
Hivi serikali imekumbwa na balaa gani??? majina yanapatikana kwenye blogu za watu binafsi kwanini wizara husika zinashindwa kupost kwenye website zao??? Hii ni aibu ndugu zangu@
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…