Ajira zinazohitaji experience

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Posts
445
Reaction score
259
Wana JF, Hivi ikitangazwa ajira ambayo requirement mojawapo ni experience,ikiwa fresh graduate akaomba ajira hiyo, Maombi yake yatashughulikiwa?
 
50/50 mdogo wangu, kama ni post kubwa wanatupa kwenye kapu la takataka, kama ni post ndogo ndogo wanashughulikia. Huwezi kumteua mwenyekiti wa uvccm agombee u-rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…