Ajira zipo zitatoka tu kama zilivyotangazwa.

Ajira zipo zitatoka tu kama zilivyotangazwa.

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
616
Reaction score
854
Wadau naamin kwa walengwa wa Ajira mpk sasa kuna watu wameanza kukata tamaa.
Naomba niwaambie kitu. Ktk mambo ya uongozi hasa kwny Taasisi kubwa kila jambo linafuata utaratibu na Itifaki lazma izingatiwe.
Hivyo basi yule katibu kutangaza Ajira zitatolewa tar.25 April 2015 hakukurupuka Bali ni jambo lililojadiliwa kwnza halafu akaambiwa alilete kwa wanahabari na ndivyo alivyofanya.
Vilevile hakuishia hapo akidai kuwa walimu wataanza kuripoti 1 May 2015 hlo nalo aliagizwa na watu huska ambao ndio serikali kulileta kwa wanahabari ili kutufanya sisi walengwa kuweza kuzisoft mind zetu lkn pia kujiandaa. Sasa kutotolewa kwa Ajira hzo mpk sasa kuna mambo mawili ninayoamin mm.
1. Suala la kuriliz Ajira ni la kimfumo ya kiteknolojia, pengine mifumo imegoma Ku-appload mzgo wte.
2. Suala la Urasimu tu wa kiofisi. Pengine anahitajka mtu flani asaini ili mzgo ueende hewan lkn akawa hayupo hvo kuhtajka asubiriwe mpk arudi alikokwenda.

-Ktu rahis na kigumu cha kufanya ni kuvumilia wadau wnzangu.
-Naamin hta wao wanaona purukushani za kwny mitandao hii kwa Leo ni kuhusu wao tu Tamisemi.TUWAVUMILIE WATATOA MZGO LEOLEO.

*MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU WABARIKI WALIMU WAPYA 2014/2015*
 
Teeenda miujizax2
Tenda Bwana.....
Teeenda miujizax2
Usiache Bwana mwezi upite,
Bila kutenda muujiza.

Hahaaaaa. Mwanangu usku wa jana niliimba xnaa mapambio yte nkajua mzgo asbh ntakutana nao ili nilale mchana lkn wap.
 
Back
Top Bottom