ajira

eliangikundi

New Member
Joined
Apr 11, 2010
Posts
3
Reaction score
0
wadau,

natafuta mfanyakazi kuja kufanya kazi kwenye internet cafe moja ipo Tabata Kimanga. Naomba mfanyakazi huyo awe ametokea kimanga mwisho wa mabasi yanapogeuzia. Awe anafahamu computer kidogo, Awe dada.

ukiwa tayari naomba unipigie kwenye simu namba +255 715 408 233


wako,

eliangikundi.
 
yaan ndugu yangu qualification zako noma mpaka anapoishi ni criteria kwako? Duh hii kali "awe ametokea kimanga mmwisho wa magali yanapogeuzia" au kuna mtu analengwa kule nn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…