marko maluli
Senior Member
- Mar 14, 2015
- 164
- 49
jamani kuna watu wanatuma vitu ambavyo havielewek kwakwel cjui ni upeo
mdogo au kutojitambua wajue kuwa ajira kwa sasa hazitolewi na wizara ya
elimu badala yake zinatolewa na ofisi ya waziri mkuu-TAMISEMI......
ila watu wanadanganyana kuwa wizar inatoa ajir naomba mnukuuu kuwa
wizara haitoi ajira hat hvy walimu wanaoajiriwa mwaka huu ni waajiriwa wa
mwaka 2014/2015 na sio 2015/2016 ...muwe makin kwa hilo