Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Moderator kijiji ni GininigaMKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na amesema Jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha Luli Shibone ambaye amejiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu.
Sasa yule Jamaa aliepost "Narudia tena Acheni Unzinzi" ndipo ataeleweka zaidi tofauti mwanzo ambapo kulikua hakuna mfano haiMKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, Edith Swebe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na amesema Jeshi hilo linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha Luli Shibone ambaye amejiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu.
😅😅😅😅badala ya kupekuwa kipochi manyoa usiku unahangaika na yasiyokuhusu!
Sasa unajiuaje? Hilo suala mboni linazungumzika au alikua anachat madudu humo kwenye simu yake? Kwanini akupiga lock?baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine.
Wewe ujiue alafu iweje wakati utamu bado unautaka?Sijajiua aise
Classmate kazinguaR.i.P Classmate...😪
Umetangulia kwa aibu sana
Simu yako unayofanyia madudu iwe ni simu nyingine kabisa tofauti na unayotumia kinyume na hapo siku zako zina count down utadakwa tuKama hamuaminiani katika ndoa,hakikisha simu yako ina password asiyoijua mwenzi wako!
Muhimu kupekua simu ya mwenzio ujue kama unaishi na Malaya au ili uchukue tahadharibadala ya kupekuwa kipochi manyoa usiku unahangaika na yasiyokuhusu!
Haijalishwi utadakwa TU,hakunaga cheaters smart.Simu yako unayofanyia madudu iwe ni simu nyingine kabisa tofauti na unayotumia kinyume na hapo siku zako zina count down utadakwa tu
Kitochi?Kama hamuaminiani katika ndoa,hakikisha simu yako ina password asiyoijua mwenzi wako!
Kuna watu ni wanajua kuficha makovu yao mpaka unakuja kuyaona umefanya kazi kubwa sanaHaijalishwi utadakwa TU,hakunaga cheaters smart.
Kuna nguvu inaitwa Roho Mtakatifu ufunua yaliyofichwa gizani