Kataa Ndoa wamechoka kabla hata dakika 90 hazijaisha wasikilizaji.
Minong'ono ni kwamba hata wao wenyewe hawaiamini kauli mbiu yao siku hizi.
Wanafanya maigizo kama timu ya Tanzania katika AFCON pale mbele.
Hapana, hata mbele hawafiki.
Wanacheza nusu uwanja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]