Ajuae bei ya mashine ya kusaga nafaka

Ajuae bei ya mashine ya kusaga nafaka

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Nataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo please!!!
 
Ebu wasiliana na Waziristan mwenye shamana na viwanda the. Mwijage maana wameshaanzisha viwanda kama hivyo 2000 ndani ya mwaka mmoja! Just joke my friend ngoja nifuatikue my bro alinunua! Nu ya umeme mkuu!?
 
Poa mkuu eb fuatilia unitonye!!!
 
Ebu wasiliana na Waziristan mwenye shamana na viwanda the. Mwijage maana wameshaanzisha viwanda kama hivyo 2000 ndani ya mwaka mmoja! Just joke my friend ngoja nifuatikue my bro alinunua! Nu ya umeme mkuu!?
Mtu anaomba ushaur ww unaleta utan sasa huyo Waziristan ndio nan na hyo shamana ndio mdudu gan watoto wa 95' kaz kwelkwel
 
hebu jaribu na sido pia ila uwe makini vifaa vyao vingine mungu anajua sujui ni wanafunzi wanatengeneza
 
Nataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo please!!!
Safi sana mkuu.. tena ukishafunga mashine Mtafute waziri mwenye dhamana Mh Mwijage aje afungue rasmi.. Kiwanda hicho ati!
 
Nataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo please!!!
Nitumie namba yako nikupe maelezo yote free na changamoto
 
Kama upo Arusha jaribu kutembelea kituo cha CARMATEK au kama alivyoshauri mkuu hapo juu nenda SIDO wana machines mbali mbali za processing
 
Back
Top Bottom