goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Ebu wasiliana na Waziristan mwenye shamana na viwanda the. Mwijage maana wameshaanzisha viwanda kama hivyo 2000 ndani ya mwaka mmoja! Just joke my friend ngoja nifuatikue my bro alinunua! Nu ya umeme mkuu!?
eti umeandika nini hapaEbu wasiliana na Waziristan mwenye shamana na viwanda the. Mwijage maana wameshaanzisha viwanda kama hivyo 2000 ndani ya mwaka mmoja! Just joke my friend ngoja nifuatikue my bro alinunua! Nu ya umeme mkuu!?
Mtu anaomba ushaur ww unaleta utan sasa huyo Waziristan ndio nan na hyo shamana ndio mdudu gan watoto wa 95' kaz kwelkwelEbu wasiliana na Waziristan mwenye shamana na viwanda the. Mwijage maana wameshaanzisha viwanda kama hivyo 2000 ndani ya mwaka mmoja! Just joke my friend ngoja nifuatikue my bro alinunua! Nu ya umeme mkuu!?
na wewe unapokea ushauri kama huu si kazi na wewe hamnazoPoa mkuu eb fuatilia unitonye!!!
Safi sana mkuu.. tena ukishafunga mashine Mtafute waziri mwenye dhamana Mh Mwijage aje afungue rasmi.. Kiwanda hicho ati!Nataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo please!!!
Nitumie namba yako nikupe maelezo yote free na changamotoNataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo please!!!
Mkuubukiweka hapa tutapata faida wengi..Nitumie namba yako nikupe maelezo yote free na changamoto