BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
hahahahaha... maneno yko yanaukweli ndani yke.Amewambia wewe ndo kaka yake mkubwa, yan ndo wa kwanza nyumbani 'kwenu'! so akawaonesha makea 'yenu' si ulisema kwao wanajiweza,so ndo aliwaonesha 'uzungu' wa hom 'kwenu':lol:
ukiona alama za miguu?uje watu wamesha kanyaga.....lol
sometimes wanasema ashakum si matusi "mshikaji siku hizi anatembelea mata..ko!Hehehehe kwasababu yanaonekana kirahisi. Akiwa na nyumba watu wasiomfahamu hawawezi kujua anayo mpaka awaambie, wakati gari hata machinga naona "dah, yule mshkaji anatembelea tairi aisee." Wabongo kwa sifa hawawezekani!!
Utafika wapi Kongosha! kwa kazi ipi!duh, kazi ipo
punda atakufa ila tutafika tu.
ushaliwa wewe.. ''mara mia kuwa na mahusiano na changudoa kuliko mwanafunzi wa chuo anayeishi hostel''
akija kujua keshaumia pengine hata Miwaya!! oikama ana mtu.jipe muda,ipo siku utaujua ukweli tu
unakuta mtu kiwanja hana,lakini ana magari mawili ya mkopo..
watu bana lol
mwenye macho. . . .
Kuna rafiki yangu aliwahi niambia kwa kuniuliza swali "Uliwahi kusikia watu wanamuita baba mwneye gari? Mara nyingi wasema baba mwenye nyumba".
Dada zetu wawe waangalifu na hayo magari watakosa wachumba bure!!!
Yaani sijui kwanini usiwe sukari kabilia badala ya kisukari kidogo dogo mnokama ana mtu.jipe muda,ipo siku utaujua ukweli tu
Ila mim nikawa na maswal mengi
1.kwanin akose comfednce alipowaona wale jamaa?
2.kwanin aliporudi alinishika kiuno na sio kawaida yake?
wanajamii hebu nisaidieni