Akadumba kawa mtamuu, tena yuko vizuri hatari

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu wana JF,

Ebwana sasa hii sifa,akadumba tangia atoe video na nay wa mitego kawa mtamu,kumbe demu kajaliwa neema za alah,hips wema sepetu anakaa,wezere masogange anasoma namba,nina wasiwasi na yeye tutaanza kumuona na mascandal kwenye magazeti ya Shigongo.
 
Kaka songesha na kapichu basi tusiemfehemu japo tumtie kumacho
 
namuona hapa FNL ni mkali kwakweli, anafigure 8 then natural color
 
namuona hapa FNL ni mkali kwakweli, anafigure 8 then natural color

Siwaelewi hao madada wawili waliokuja na ali kiba yani ni shida,kwa kifupi wapo uchi,huyo aliokaa na kiba hoteli yote wazi na huyo aliyekaa na akadumba wezere na mahaga yapo wazi kabisa TCRA wana kazi nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
Siwaelewi hao madada wawili waliokuja na ali kiba yani ni shida,kwa kifupi wapo uchi,huyo aliokaa na kiba koteli yote wazi na huyo aliyekaa na akadumba wezere na mahaga yapo wazi kabisa TCRA wana kazi nyingi sana.

Kama Hawa?
 
Last edited by a moderator:
Siwaelewi hao madada wawili waliokuja na ali kiba yani ni shida,kwa kifupi wapo uchi,huyo aliokaa na kiba hoteli yote wazi na huyo aliyekaa na akadumba wezere na mahaga yapo wazi kabisa TCRA wana kazi nyingi sana.

Juma Nature alikuja na Ndala akatimuliwa,but huyu malaya anayecheza matiti nje wanamfurahia tu. Sijapenda Ali Kiba kuja na hawa malaya!
 
Last edited by a moderator:
Juma Nature alikuja na Ndala akatimuliwa,but huyu malaya anayecheza matiti nje wanamfurahia tu. Sijapenda Ali Kiba kuja na hawa malaya!

Aliyekuwa amevaa gauni mpasuo jeusi yani binti hatulii hata kidogo
 
Aliyekuwa amevaa gauni mpasuo jeusi yani binti hatulii hata kidogo

Anaitwa gigy money eti nae anaimba... Ila aisee unafki pembeni , ule mzigo khatariii!! Nilipiga cha mkono bila kupenda ,.
 
Juma Nature alikuja na Ndala akatimuliwa,but huyu malaya anayecheza matiti nje wanamfurahia tu. Sijapenda Ali Kiba kuja na hawa malaya!

EATV wameonyesha udhaifu,yale mavazi waliovaa wale malaya sio,mbona akadumba kavaa kiheshima hakuna sehemu yeyote ya mwili wake iliyokuwa wazi zaidi ya vidole na sura ila alikuwa na mvuto hatari.
 
Hiyo shape sijaielewa kabisaaa! labda Nina makengeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…