Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

Mnyarwanda ni hatari sana kwa ujangili.Upatikanaji wa silaha ni rahisi kwao mno.Nina imani huko biharamulo serikali ikiamua kuweka amsha2 ya silaha hata vifaru watavikuta maana mtusi kafichama kule.
Ha ha ha ha ha ha .......uasi utaanzia poli la Biharamulo?????????
 
Ngoja kwanza tumalizane na ukawa tutakuja uko baadaye.
 
Mnyarwanda ni hatari sana kwa ujangili.Upatikanaji wa silaha ni rahisi kwao mno.Nina imani huko biharamulo serikali ikiamua kuweka amsha2 ya silaha hata vifaru watavikuta maana mtusi kafichama kule.
Ile operation ya kuondoa wahamiaji haramu ije awamu ya pili
 
Huwezi kumfilisi Bill Gates kwa kumuibia Tsh milioni mia. Tz ni tajiri wa rasilimali za wanyama na mbuga za wanyama. Hatuwezi kuathirika kwa udokozi wao wa swalla wawili, watatu.
Haya majibu mbona kama ya Sizonje!? Bila shaka ni yeye!!
Habari za nyumbani Chato mheshimiwa!.
 
PK ndo mentor wetu, acha achukue mkoa mzima wa Kagera!
 
Asili ya jina Kagera(akagera)ni mto na chanzo chake ni Rwanda kwenya hifadhi ya Nyungwe. Akagera unapo endelea zaidi unabadilika kuitwa white Nile. AKAGERA National park ilianzishwa mwaka 1934 ,kihistoria ni miongoni mwa National Park za zamani Africa.
Kinacho fanywa hapo ni kwahadaa wa Tanzania na kupanda chuki. Kingine Rwanda wapo juu sana katika kutunza vivutio barani Africa.
 
Shida ya watanzania uzalendo hakuna, hao viongozi sasa kazi matamko yasiyo na tija, hivi huyu Waziri wa Mali asili kigwangala alichofanikisha nini katika harakati zake toka awe waziri zaidi ya kauli zisizokua na utafiti? Tujaribu kuwa wazalendo kwanza na tuwe na viongozi makini siyo wa visasi na kiki
 
Ukali wa Magufuli uonekane katika hili. Bahati mbaya sana kwa sasa Intelligence yetu wanafanya kazi za chama.
 
N
Nani Askofu wa eneo hilo, si ni Bagonda? Sijui kama halioni hilo, inamuuma zaidi Abdul Nondo akitekwa.
 
N
Nani Askofu wa eneo hilo, si ni Bagonda? Sijui kama halioni hilo, inamuuma zaidi Abdul Nondo akitekwa.
 
Hii inaweza kuwa ni mada nzito sana ya kuanzia mwaka na ambayo kama watu wanafuatilia (na I know they do) watu wetu wa inteligensia (TISS na wa Jeshi) watakuwa wanaunda task force kuelekea pande hizo kabla ya mwisho wa wiki..

Mkuu, huko pagumu! Ni sehemu yakupiga ‘madeal’. Ni sehemu au mipaka ambayo kupata watu waadilifu imekuwa ngumu sana.....I have a story
 
Sisi wannywarwanda kwa sasa tuna mtu hapo ikulu, hivyo tunachukua chochote tukitakacho
 
Mkuu, huko pagumu! Ni sehemu yakupiga ‘madeal’. Ni sehemu au mipaka ambayo kupata watu waadilifu imekuwa ngumu sana.....I have a story
kweli kilicho mtoa Kanali Massawe na kufutwa ukuu wa Mkoa Kagera Mpaka sasa hakijatajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…