NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 728
itikadi kaliHivi Pogba alipokwenda kuhiji Mecca hakufanya hii kitu ya DABBING??Afu mbona TZ inafanyika?
Ni kama ibadi fulani hivi za kishetani "wanasemaga" unaweza kugoogle watakuelezea. Na ndio maana nchi zenye milengo ya kidini hawaruhusu hii kitukwani hii maana yake nini?