Akamatwa kwa kuiba nguo za ndani 100 na zingine kakutwa amezivaa

Akamatwa kwa kuiba nguo za ndani 100 na zingine kakutwa amezivaa

ormystatus

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
111
Reaction score
223
VYUPI2.jpeg

Mwanaume mmoja mwenye tabia ya Wizi wa nguo za ndani za wanawake, anayejulikana kwa jina la Mukoshi Chipukosia (36), kutoka kijiji cha Hirumbi nchini Kenya, amekamatwa na kufikishwa kwa Mjumbe wa Nyumba Kumi kwa kosa la kuwaibia wanawake nguo za ndani 100 na kukutwa amevaa mbili.

Kwa mujibu wa Mjumbe wa Nyumba Kumi amesema, mwizi huyo amekutwa hadharani akiwa amevaa nguo hizo, wakati anajaribu kuiba zingine kwenye kamba na ndipo Mbwa wa ulinzi wa eneo hilo akaanza kubweka na kumshtua mmiliki.

Aidha mmoja wa wamiliki wa nguo hizo amesema, alikuwa anachunga ng’ombe ghafla akasikia mbwa wake anabweka na alipoenda akamkuta mwizi huyo anaiba.

"Tumechoshwa na hii tabia, anachofanya sio tabia nzuri, anaiba nguo za ndani za wanawake pekee, kwanini isiwe na za wanaume, kila mara anatuibia sisi tu inatushangaza ni aina gani ya wizi huu bora angeiba kuku, mbuzi au ng’ombe ila sio nguo za ndani imetushtua sana” amesema mmoja wa waathirika wa wizi huo.

Pia mwizi huyo amejitetea kwa kusema yeye ni maskini, hana pesa za kununua nguo za ndani za kiume kwa hiyo ilikuwa inamlazimu kuiba na kuahidi kuwa hatorudia tena.
 
Hio ni kwa sababu ya fetish nadhan. Mwingine kuona nguo ya ndani ya mtu tyr anakua ameshajimalizia genye zake kwa huyo mtu
 
Anazinusa kupata steam. Mara nyingi watu wa namna hii wanapenda kuiba zile ambazo hazijafuliwa. Kuna kick fulani wanaipata wakizinusa.
Anavaa, kakamatwa amevaa chupi za kike. Atakua ana homoni za kike huyo.
 
Unaongea ni kama una ujuzi fulani wa haya mambo.
 
Waganga bana wakaashindwa kuagiza kuku wakaagiza kyupi??
 
Umbuje Mshana Jr ukuje utuambie kwanini wachawi hupenda kutumia nguo za ndani katika kumroga mtu?
 
Back
Top Bottom