Elections 2010 Akamatwa na vitambulisho 20 vya wapiga kura-sumbawanga

Elections 2010 Akamatwa na vitambulisho 20 vya wapiga kura-sumbawanga

Technician

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
841
Reaction score
222
Taarifa niliyoisikia jana kutoka Redi WAPO FM inasema kuna wanawake watatu wamekamatwa wakikusanya vitambulisho vya wapiga kura 20 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu octaba 31.
Wnawake hao walisema kuwa wamepewa tender hiyo na mgombea mmoja wa kinyang'anyiro cha kuwania ubunge jimboni humo ili kuweka record za mahesabu vizuri iwapo atalichukua jimbo basi kuna gawio litakalopita kwa hao wote.
Hizi ni taarifa za uhakika nimesikia kwa masikio yangu jana jioni WAPO FM

Kama kuna mtu ana taarifa zaidi tunaomba atujuze.
 
Back
Top Bottom