Hahahahaha!
Babab kwisha habari yako,
Leo labda uunganishe na shifti ya usiku labda kesho ukirudi hm tutakua tushasahu hii maneno,
Otherwise .....................................!
Mimi najua njama zenu..........lakini hamuwezi kushindana na baba yenu......Thubutuuu, lazima niwakomeshe safari hii. na nitahakikisha hata humu nawang'oa na hamtakaa muwe mna-access hii maneno tena!
Soksi zenyewe kauka nikuvae sasa ulitakaje nivae viatu bila soksi! kwaza siku hizi kuna fangasi tofauti na zamani kulikuwa hakuna kabisa hayo maradhi, ulitaka tupeane maambukizo?