Ni uzembe au Ajari!? Akanyagwa na Catapilla akiwa kazini.
M/Mungu amuweke mahala pepa marehemu...!
Kama una roho nyepesi na huwezi kuangalia picha za kutisha tafadhari usiangalie. Ni picha ya binadamu Mfanyakazi kwenye maeneo ya ujenzi Majengo amepata ajali ya kukanyagwa na Catapilla. Tafadhari sana Picha zinatisha.
Inasikitisha kweli,huyo mtu alikufa kifo cha mateso sana.
Kama huna roho ngumu huangalii,tena ukiwa unakula halafu ukaangalia unaweza kutapika au kupatwa na mshtuko sana.
Inatisha sana. Apumzike kwa amani.
Mbona kama vile huyo mchina hapo anaendelea na shughuli zake...haonekani kuwa na juhudi za kutoka mwili huo....no polisi....hichi ndio na observe kwa sasa labda kama kuna maelezo zaidi.Ni wapi hapo?
Ama kweli kila mtu atakufa kifo cha namna yake.
Watu wanasema product za kichina ni feki,
kumbe sio products tu hata wachina wenyewe ni feki,
katapila huwa inaenda taratibu sana ,sasa sijui mwenzetu ilikuwaje hadi imsigine?