Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Moderators mtanisamehe sana;
Imebidi niutafute huu uzi;
Bishanga bado Mamndenyi anakutafuta.

Ni nani aliyekusindika akakutia kwenye chupa akakufunika
na kimfuniko kama mbilimbi?
 
Last edited by a moderator:
Kapotea kweli....dah nimemiss sana
 
hidaya yupo pale kaloleni hidaya wa pepe kale
 
Tanzia:
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Hidaya Khamis Mtumwa (almaarufu hidaya Pepe kalee)

kilichotokea leo.
Marehemu ni Mtoto wa
Marehemu Mzee Khamis Mtumwa wa Bondeni. Marehemu ni Mdogo wake
Salma Khamis Mtumwa,
Zenab Khamis Mtumwa,
Nadhifa Khamis Mtumwa na
Ibrahim Khamis Mtumwa.
Marehemu pia ni Dada yake
Hassan Tea,
Juma Matara na
Muhammad Khamis.
Marehemu pia ni mama yake
Marehemu Leyla Mtumwa na
Kassongo Mtumwa.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Kaloleni.

Tutajulishana taratibu za mazishi pindi tutakapopata ratiba kamili ya mazishi.

Innaa lillaahi wa Innaa Ilayhi raajiuun
 
Kumbe huyu bibie alikuwa bado yuko.

Aise, Rest Easy Hidaya wa Pepekalle
 
Idaya
Mwenye huo wimbo aweke
Shikamoo seye seyeee...
Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania.
Nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho
(Sio almasi,
Sio dhahabu ni ishara ya usajili jina lake Hidaya hidaya hidayaaa)
Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania.
Nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho
(Sio almasi,
Sio dhahabu ni ishara ya usajili jina lake Hidaya hidaya hidayaaa)
Nimepoteza mpenzi wangu nchini Tanzania
Nimepoteza mpenzi wangu nchini Tanzania
(Kama kule Arusha sijui, ama kule Morogoro sijui, )
Nimepoteza mpenzi nchini Tanzania
Nimepoteza mpenzi wangu nchini Tanzania
(Kama kule Arusha sijui, ama kule Morogoro sijui)
Hidaya hidayaaa.
...
(Nitarudi, nitarudii kwa ajili ya hidaya)...
(Nitarudi, nitarudii kwa ajili ya hidaya)...
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooo...(marahaba)
Shikamooooo...
Msapheleo... msapheleo... msapheleo (pepe kale langali)
Msapheleo (pepe kale langali)
Msapheleo... msapheleo... msapheleo... msapheleo... msapheleo...
(Langali kiboko)
Seye seye...
Msapheleo... msapheleo... (Rozii)
Msapheleo... msapheleo...
Msapheleo (pepe kale langali)
Msapheleo (pepe kale langali)
Msapheleo... msapheleo...
Msapheleo msapheleo... msapheleo...
(Langali kiboko)
Seye seye...
Msapheleo... msapheleo... (Rozii)
Msapheleo... msapheleo... msapheleo msapheleo... (pepe kale
 

Attachments


Mwingine alisikika akinong'ona "nimepoteza kamasi zangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…