masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Za mda huu wadau,
Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa mahali ila kufanya sherehe huo uwezo hana.
Mama kusikia hivyo akajibu kuwa yeye ameshachangia watu wengi sana hivyo kama hakuna sherehe basi mahusiano yafe na kijana ameamua kukaa pembeni