mama choka mbaya na kijana choka mbaya. kama mama ndio mwenye kisu si angesimamia hiyo sherehe anayoitaka.Kijana marioo mama ndiyo mwenye kisu ayafuate ya Bi mkubwa huyo shauri yake atakoma kilanga kitamuisha.
Noma sana kwakweli, kijana kujipinda na mama wa miaka 40 sio kazi rahisiHuyo mama anasikitisha sana... na kijana nae anasikitisha zaidi...
Noma sana!Huyo kijana anakwepa tu fedhea ya siku ya harusi kuona ndugu na jamaa wote wanakusanyana na kushihudia yupo na mbibi.
Mama keshasema amechangia wengi ss kijana suti ya mtumba tuu inamsulubu.Yeye aache michango ya bi mdashi ifanye kazi.mama choka mbaya na kijana choka mbaya. kama mama ndio mwenye kisu si angesimamia hiyo sherehe anayoitaka.
mama amekosa vingi inafika hatua anaona kama sio kweli kukosa mpaka sherehe ya ndoa