Akatwa uume akiwa gesti Arusha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
Aminiamini nakwambia wanawake wangepewa misuli kama yetu wanaume Dunia isingekalika kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mwanamke anaroho mgumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MITHALI 6:32
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake."
Barikiwa sana. Mambo haya yamefichwa machoni pao. Wameamua kuwa maadui wa Mungu. YAKOBO 4:4 "Enyi WAZINZI, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui na Mungu? basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu".
 
Duh huyo dada ana roho ngumu, katili sana. Nawaza tu ilikuwaje mpaka akakatwa uume wake alishindwa kujitetea kabisa angebana hata miguu
 
Mwanaume yoyote asieweza kulinda uume wake huyo ni wakukamatwa kuuliwa yaani mnagombana mtu anakukata uume kwann asikate mkono au kifua akate mashine kabida huu ni uzembe ni sawa na askari anyang'anywe silaha akiwa lindo
 
Huyo atakuwa malaya alikuwa anadhulumiwa na mteja akaamua kujitetea. Watu wa Arusha acheni upuuzi. Wanawake kwa wanaume wote wakorofi hatari. Hilo janajike liliendaje gesti na kisu?
Mwanamke anaingia na kisu gesti? Huyo ni jambazi bhana..
 
Kama dada mmoja hapa arusha juzi ameumwa chuchu na jamaa afu akakitema kiko km kifungo.yule dada alikuwa analia jamani adi nilimuurumia.alidate na jamaa kumbe chizi
inasikitisha watu ni wakatili sanaπŸ˜’β€¦..kwanini kifungo lakini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nacheka lakini naogopa
 
Mambo ya Kenya yanazidi kuingia taratibu huku kupitia mipaka yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…