Akatwa uume akiwa gesti Arusha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmoja alinishikia kisu usiku wa saa nane Kwa madai kwamba nina mahusiano mengine tofauti na yeye, hivyo ananiua!
Nilichomfanya hatokaa asahau,

Kwanza nilivua shati, nikamwambia choma popote unapojisikia, shingo, kifua na tumbo bill hapa!,bibie akatuma mkono wenye kisu kuelekea kifuani kwangu Kwa nguvu, niliudaka mkono wake on the spot na kuvunja vidole vinne (nilivunja kabisa) akapiga yowe kwa maumivu makali, na mimi nikatokomea zangu kusikojulikana!
Mpaka kesho nikikutana naye ananiogopa kama dubu....
 
Hapa umuhimu wa kibamia unaonekana. Ukitaka ukikate hakipo Kiko ndani, zaid zaid utaishia kukata mapaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziiii khaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dear
 
Kati ya Malaya wakorofi WA Arusha ni balaa ,atakuwa alichukua Malaya WA kaloleni uyo,sema mademu WA kaskazini ni balaa sana
Nachopendaa watu hawana mbambamba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh huyo dada ana roho ngumu, katili sana. Nawaza tu ilikuwaje mpaka akakatwa uume wake alishindwa kujitetea kabisa angebana hata miguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akati amekatwa had makalio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio.
Duuuh yaan kamtia matatuu ya misalaba kila sehemu ya mwili wake kulazimisha sikukuu ya Pasaka akizingatia ule mstari pendwa wa biblia ambao umeonekana mara moja tu katika Injili zote Mathayo 27:52-53
 
Huyo naona alikuwa anasulubiwa kabisa. Kukatwa uume mpaka makalio!! 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…