Akaunti rasmi ya kuchangia wahanga wa tetemeko

Akaunti rasmi ya kuchangia wahanga wa tetemeko

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Leo imetolewa akaunti rasmi ya kuchangia wahanga wa tetemeko
Ni
0112045981500
Crdb

Tusiwaangushe jamani
 
mbona hatujapata taarifa na takwimu rasmi za maafa , tunajua na kusikitika kuwa watu wapatao 10 wamepoteza maisha lakini ni watu wangapi wameathirika au wamepoteza makazi kamili na wanahitaji msaada
 
Nafikiri serikali iwe ina vipaumbele katika kutuletea maendeleo na kuacha uswahili, just imagine operational cost zilizotumika wakatiawa kuzuia UKUTA magari yalitiwa mafuta, changanya kemikali za maji ya washawasha, askari kulipwa posho za mazoezi, sasa leo wanatutaka kuchangia sisi tuliokuwa tunaona kuna mambo hayaendi vizuri.

leo wanaomba michango, jamani hadi serikali ya kenya inatoa misaada lakini ya kwetu iko kimia tu mbona kuzuia maandamano hamkai kimya kama mabubu?

wakti mapato kwenye makusanyo ya kodi wanajinasibu yameongezeka kwa kuvuka lengo na kama ndivyo kwanini kimya kikuu?
 
Serekali imekusanya Tsh 746M kutoka kwenye makampuni mengi hapa Tanzania.Vile vile makampuni matatu yatajenga shule zilizo teketea.
Kutoa NI hiyari ya mtu Kama Huwezi Au hutaki NI sawa tu
Hamna aliyo lazimishwa.
 
Back
Top Bottom