Nafikiri serikali iwe ina vipaumbele katika kutuletea maendeleo na kuacha uswahili, just imagine operational cost zilizotumika wakatiawa kuzuia UKUTA magari yalitiwa mafuta, changanya kemikali za maji ya washawasha, askari kulipwa posho za mazoezi, sasa leo wanatutaka kuchangia sisi tuliokuwa tunaona kuna mambo hayaendi vizuri.
leo wanaomba michango, jamani hadi serikali ya kenya inatoa misaada lakini ya kwetu iko kimia tu mbona kuzuia maandamano hamkai kimya kama mabubu?
wakti mapato kwenye makusanyo ya kodi wanajinasibu yameongezeka kwa kuvuka lengo na kama ndivyo kwanini kimya kikuu?