Akaunti ya dola

Msai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Ndugu zangu wanajaii nimekuja kwenu kwa heshima zote kwa kuwa nyinyi ni wajuzi wa hili ninalotaka kuuliza ndugu zangu ipi fauda ya kuwa Na akaunti ya dola? Na je mtu mwenye kipato Kidogo Kama laki TATU hivi ndio mshahara wake kwa mwezi anaweza kuwa Na akaunti hiyo?
 
Kumentain $ a/c ni shida hasa kwa wewe mwenye kipato kidogo. Hii inatokana na ukweli kuwa monthly+withdral charges ni kubwa sana when u quote it into shs. Lakini kama utahimili hilo basi nakushauri ufungue a/c yako baroda au equity bank wapo vzr interms of charges. Ila all in all better stick with tshs a/cs when it comes the usage of $ bill nenda beaural de change or if it is money transfer use money gram or western union.
 
Swali ni kwanini unataka a/c ya $? Kama alivyosema mdau ni gharama kuendesha lakini muhimu zaidi ni kuwa je una income ya $ au utakua unapokea mshahara wa TZS unaconvert to $ na unapoitaji kutumia unaconvert tena kwny TZS? Hiyo itakua gharama zaidi! Ukitaka kusave kwa muda maalum au say akaunti ya mtoto ambazo mara nyng hazina monthly charges na haziruhusu kuwithdraw mara kwa mara then that's okay kumantain $ a/c ili kulinda thamani ya hela yako.
 

Nakushauri kama walivyosema wengine hapo juu usithubutu, nilifanya majaribio tu kufungua account ya $1000 CRDB walinipa maelezo mazuri sana, lakini nilipoenda kuangalia balance ilibidi nihamishe zote niziingize account ya Tshs maana niliona nimenyofolewa kwa miezi mitatu wastani wa $90 tokana na $1000. Kwa Tanzania Shs kiasi hicho kinatosha gharama za usafiri kwa familia kutumia daladala zetu kwa mwezi mzima. Kifupi ni hasara. Bora weka kwa Tanzania Shs na unapohitahi badilisha madukani bora.

Fees zao kila mwezi ni 3%, ujiandae kwa hilo.
 
Uliitumia kwa muda gani? Kama mwezi mmoja si apo walikata gharama za kufungua na nyingine au?
Na mwezi wa pili walikata kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…