Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salam,
Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili.
Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika!
Je, nini kimetokea? Anko Elon atakuwa amewatimua baada ya sekeseke la kutaka kutufungia X? Au sababu wamegoma kuruhusu Starlink kufanya kazi nchi?
Au ndio wameanza kujitoa ili wafungie moja kwa moja mtandao wa X kuhakikisha hawapati tabu kipindi cha uchaguzi? Maana Mkurugenzi wa TCRA anaonekana anakwazika kweli tunavyotoa maoni na kuichana serikali mtandaoni, anatakuwa anatamni turudi enzi za Mwalimu, kuwasiliana kwa barua, mtaa nzima simu moja

Pia soma: Kuelekea 2025 - Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali
Angekuwa na nia nzuri na uhuru wa kutoa maoni wa Watanzania, angekuwa mstari wa kwanza kutetea hili, hata tungepata neno kutoka kwao kulaani yoyote anayetaka X ifungwe sababu inaenda kinyume na Katiba, lakini mzee baba wapiii, kimyaaaa!
#KataaMachawa
#KataaUozo2025