Akaunti ya twitter ya Citizen yadukuliwa

Akaunti ya twitter ya Citizen yadukuliwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Akaunti ya twitter ya Gazeti la Citizen imedukuliwa. Uongozi umewataka wateja wake kutoamini taarifa yoyote itakayotolewa na ukurusa huo kwa sasa

Timu ya wataalamu wanaendelea kushughulikia namna ya kuirejesha.
IMG_20220320_120823_827.jpg
 
ngoja waje wadukuzi wa republic of twitter wakanushe vikali
 
Back
Top Bottom