Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Leo, Februari 5, 2025, majira ya saa 10 jioni, akaunti ya X ya mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji (@moodewji) imeripotiwa kudukuliwa. Wadukuzi wameweza kuchapisha ujumbe wenye kiungo kinachodaiwa kuwa na madhara kwa watumiaji.
Inashauriwa kwa nguvu zote kutojibu wala kufungua kiungo chochote kinachotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo kwa sasa. Tafadhali kuwa makini na taarifa zinazotoka kwenye akaunti hiyo hadi itakapothibitishwa kuwa imerejeshwa na usalama wake umeimarishwa.