Akaunti za waigizaji wa ngono zaondolewa Instagram

mkuu kumbuka kuna watu wanaendesha maisha yao kwa kazi hiyo ya ukahaba
Kwani kazi ni hiyo tu?,si wakabebe hata box mbona watanganyika wenzetu wapo huko wameweza, wao wanakwama wapi.Kazi yao kuharibu tu watoto wetu nakufanya dunia kuwa ya wazinzi,wafiraji na wasagaji,wabarikiwe waliowandoa,naamini watakuwa wamewapa 'life ban'.
 
Sidhani kama wanaigiza,wale wanafanya ngono

Kuigiza ni kama unaangalia filamu inaonyesha mtu kauawa lakini uhalisia ni mzima,au gari limewaka moto kumbe sio.

Sasa hawa si wanafanya kweli.
Wanafanya kweli lakini kwa kulazimishwa. Si kwa hiari. Ingekuwa hiari angekuwa anamchagua anaefanya nae. Yeye ni yoyote ili mradi kupangiwa kufanya nae. Kwa hiyo anaigiza ili apate hela.
 
mfano nani imeondolewa?
 
Sidhani kama wanaigiza,wale wanafanya ngono

Kuigiza ni kama unaangalia filamu inaonyesha mtu kauawa lakini uhalisia ni mzima,au gari limewaka moto kumbe sio.

Sasa hawa si wanafanya kweli.
Labda inawezekana sisi tunaona kama huwa inaingia kumbe haiingii..inapita pembeni ..labda ndio mana wanasema wanaigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…