MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Moja kwa moja kwenye mada.
Whatsap wamekuwa na tabia ya kupiga accounts zangu za Whatsapp ban pasinakuwa na sababu za msingi.
Zamani nilikua nmezoea kutumia GB WhatsApp na FM Whatsapp kwa sababu ya features zake lakini baada ya kupigwa ban mara kwa mara nikaachana nazo nikawa natumia Whatsapp za kawaida (WhatsApp Business & WhatsApp mana nina namba mbili)
Sasa Hivi Juzi tarehe 10 walipiga ban namba yangu moja ban nikawasiliana nao hawajanijibu mpaka hivi leo wakati sio kawaida yao, nimezoea nikiwatumia text wanareply on the spot au baada ya muda mfupi na kisha kufunguliwa account yangu na kuendelea kutumia kama kawaida.
Sasa baada ya kuona hamna feedback leo nikaamua kufuta Whatsapp ambayo ilikua active ili niweze kubadili namba ambayo ndo naitumia kwenye Biashara kwa kutumia app ile ambayo namba yangu ilipigwa ban cha kushangaza sijamaliza hata lisaa nayenyewe imepigwa ban.
hapa sielewi nipo na stress biashara haziendi vile zinapaswa kuwa.
Naombeni msaada kwa anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo.[emoji120]