Akemewe James Mbowe kwa kuitisha uungwaji mkono kwa mgombea kwa misingi ya kikabila!

Akemewe James Mbowe kwa kuitisha uungwaji mkono kwa mgombea kwa misingi ya kikabila!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko:

Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake.

Soma Pia: James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

Zaidi sana huku matambiko si mahali pale.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela amemuonya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe kwa kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema "anatumia kauli za ukabila"

Bure kabisa!
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Inawezekana hayo ndio mambo anajadili na baba yake.

Wewe si unamuona Muhoozi, lile toto chizi la Museveni? Mitoto ya viongozi wa Afrika hiwa inadhani nafasi za baba zao wanastahili kuzirithi.
 
Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko:

View attachment 3203738

Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake.

Zaidi sana huku matambiko si mahali pale.

Bure kabisa!
Who is James Mbowe by the way? Hawa ni wachumia tumbo wanaganga njaa kwenye siasa tu.
 
Back
Top Bottom